Msanii wa filamu ambaye sasa amejichimbia
Dubai akisaka maisha, Jacqueline Dustan amevujisha picha zinazomuonesha
akioga bafuni huku akionekana yuko bwii, jambo ambalo ni kinyume na
maadili.
Picha hizo zinamuonesha msanii huyo akiwa kwenye sinki lenye mapovu na nyingine zikimuonesha hadi sehemu zake muhimu.
Katika kutaka kupata sababu ya mwanadada huyo kuziachia picha hizo
↧