Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema “Hatutetereki”
Zikiwa
zimebaki siku chache kabla ya Kamati ninayoongoza ya PAC kuwasilisha
Bungeni Taarifa Maalumu kuhusu ukaguzi maalumu wa akaunti ya Tegeta
Escrow, kumekuwa na kampeni za chini chini zinazoendeshwa kwenye korido
za Bunge na kwenye mitandao dhidi yangu binafsi na baadhi ya wabunge
waliosimama kidete dhidi ya wizi wa fedha
↧