Sitti Abas Mtemvu amelivua taji hilo baada ya kuiandikia barua Kamati
ya Miss Tanzania, November 5 mwaka huu, kuhusiana na uamuzi wake huo.
Mrembo huyo alikuwa akikabiliwa na shutuma za kudanganya umri wake,
jambo ambalo lilililazimu Baraza la Sanaa la Taifa, (Basata) kutokana na
agizo la wizara husika kufuatilia ukweli wake.
“Baada ya kutwaa
taji la urembo la Miss Tanzania
↧