Kufuatia
kusambaa kwa picha za utupu za msanii wa muziki Desire Luzinda kutoka
nchini Uganda, msanii huyu amechukua hatua ya kuomba msamaha kwa tukio
hili la aibu kwake.
Desire
katika waraka mfupi wa msamaha alioandika, amewataka radhi mama yake
mzazi, mwanae wa kike, familia yake marafiki na mashabiki wake na
kuwataka kufahamu kuwa, kuvuja kwa picha hizi kumetokana na kuvunjika
↧