Iliyopachikwa hapo chini ni nukuu ya kauli ya Waziri kuhusiana na habari iliyochapishwa na vyombo mbalimbali
vya habari vya Kitaifa na Kimataifa baada ya utafiti uliofanywa na
shirika moja kusema kuwa viongozi wa China walitumia ndege ya Rais wa
nchi yao kujinunulia vipusa vya tembo kutoka Tanzania.
Mheshimiwa Spika,
Siku ya Jana Vyombo vya Habari mbalimbali
vya Ndani na Nje ya Nchi
↧