Sakata la kuitwa Waziri ‘mzigo’ kwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza, limechukua sura mpya baada ya waziri huyo naye kujibu mapigo kuwa hata Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), anayemuita kuwa yeye ni ‘mzigo’ naye ni mzigo kutokana na kutoelewa.
Hali hiyo ilitokea jana bungeni Lugola aliposimama na kuuliza swali la nyongeza na kumtaka Waziri huyo kujiuzulu kwa
↧