WAVURUMISHAO makombora dhidi ya Jaji Joseph Warioba wamekuwa wakitoa
hoja kwamba mzee huyo muda wake wakuzungumzia suala la katiba mpya
ulishamalizika kwa minajili kuwa Tume yake ya kukusanya maoni ya Katiba
mpya ilishavunjwa.
Kelele zimepigwa katika bunge maalum la katiba, mtaani wanasema
“mzee pumzika muda wako umekwisha” hawataki tena atumie uhuru wake wa
kikatiba kuzungumzia mambo
↧