Ziara ya Rais Xi Jinping wa China aliyoifanya nchini Machi mwaka
jana, imezua kizaazaa na kuitia doa sifa ya Tanzania kimataifa, baada
ya maofisa waliokuwa wameambatana naye kuhusishwa na biashara haramu ya
meno ya tembo.
Ripoti iliyotolewa na taasisi ya
kimataifa ya Uingereza inayojihusisha na uchunguzi wa masuala ya
mazingira, inadai kuwa maofisa hao walinunua kiasi kikubwa cha
↧