Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya msingi ya Kiuu Kenya
amefariki dunia baada ya kupigwa na mwalimu wake kwa kufeli somo lake la
Kiswahili.
Familia ya mtoto huyo Joseph Waburi mwenye umri wa miaka kumi imesema mtoto huyo alikuwa na nidhamu ya hali ya juu.
Mama wa mwanafunzi huyo Grace Muthoni
amesema mtoto wake alienda shule Jumatatu asubuhi na aliporudi alianza
↧