Kuanzia sasa longo longo ya kwamba sikuupata ujumbe wako wa WhatsApp
itakuwa historia, au kudai kuwa ujumbe haujafika utakuwa unaongopa
mchana kweupe.
1.Huduma hiyo inapatikana kupitia Whatsapp katika simu zote za mkononi zenye uwezo wa kuitumia
2.Tick ya kijivu ina maana kuwa ujumbe umetumwa, tick
mbili za kijivu zina maana ujumbe umemfikia mlengwa, na tick mbili za
blue zina maana
↧