Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Mfinzi wilayani Nkasi-Sumbawanga anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kummwagia maji ya moto mumewe
na kumsababishia kifo, kisha kuutumbukiza mwili wake mtoni.
Kamanda
wa polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema jana kuwa tukio
hilo lilitokea juzi usiku kijijini hapo na kumtaja aliyeuawa kuwa ni
Evod Teola (62).
Alisema siku ya tukio
↧