Ikulu imesema kuwa Rais Jakaya Kikwete hajazuia kufanyika kwa
kampeni kuhusu Kura ya Maoni isipokuwa Sheria ya Kura ya Maoni ndiyo
inayozuia kufanyika kwa kampeni hizo kwa sasa.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano, Ikulu, Salvatory Rweyemamu alisema hayo Dar es Salaam
jana na kuongeza kuwa sheria hiyo inaelekeza kampeni kufanywa ndani ya
siku 60 kabla ya kufanyika ya kupiga kura ya maoni.
↧
Ikulu: Rais Kikwete hajazuia kampeni ya Katiba Mpya .....Sheria ndo inayozuia kampeni hizo kwa sasa
↧