Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu
wanne wapya na kuhamisha mmoja.
Aidha, Rais Kikwete amefanya uteuzi na uhamisho wa Makatibu Tawala wa Mikoa.
Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jana jioni, Jumatano, Novemba 5, 2014
na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue imesema kuwa
↧