Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita
na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine.
Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jana jioni , Jumatano, Novemba 5,
2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa, Wakuu
wapya wa Mikoa ni Bi. Halima Omari Dendego
↧