Baadhi ya wakazi wa mji wa
Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota Spacio lenye namba za
usajili T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za TFA
barabara ya Boma, Moshi jirani kabisa na mnara wa saa.
Dereva wa gari
hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa kikosi cha
barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine na hatimaye
kupinduka
↧