WAKATI makundi kadhaa yakianza kufanya mikutano na kuendesha midahalo kuhusiana na Katiba Inayopendekezwa, Rais Jakaya Kikwete amesema muda wa kufanya kampeni na kuuelimisha umma juu ya katiba hiyo haujafika na amewataka wananchi kuwa na subira ili kuepusha vurugu.
Akilihutubia taifa kupitia mkutano wake na Wazee wa mkoa wa Dodoma jana mjini Dodoma, Rais Kikwete alisema sheria ya kura ya
↧