Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi
‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’ ameanza kurejea katika ‘fomu’ baada ya
kuugua kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo , Vengu
ambaye kwa muda mrefu alipoteza kumbukumbu kiasi cha kushindwa
kuwatambua watu, sasa amejaliwa kwani anaweza kuwafahamu watu mbalimbali
wanaopata nafasi ya kwenda kumjulia hali, Kigamboni jijini Dar
↧