Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umesaini muongozo wa ushirikiano katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji; makubaliano ambayo yatatumika kwenye uchaguzi huo uliopangwa kufanyika mwezi ujao.
Muongozo huo ulisainiwa jana jijini Dar es Salaam na viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo ambao ni Profesa Ibrahim Lipumba (CUF), Dk. Wilbrod Slaa (Chadema) na James Mbatia (
↧