Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jafari Mohamed amewasihi
wanawake walioolewa kuwajibika katika masuala ya unyumba kama maandiko
ya dini yanavyoelekeza.
Kamanda huyo alitoa wito huo
baada ya kutakiwa kutoa taarifa ya kukatwakatwa na panga kwa mwanamke
mmoja kutokana na kukataa kufanya tendo la ndoa na mumewe kwa sababu ya
uchovu.
Kamanda Mohamed alisema alikuwa hajapata
↧