Rais Kikwete awaita Ukawa Ikulu....Ataka mambo yenye utata yawekwe kando
RAIS Jakaya Kikwete amesema yupo tayari kukutana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya. Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya...
View ArticleAda ya Sekondari kufutwa....Rais Kikwete aahidi Elimu Bure
Serikali inajipanga kufuta ada za sekondari, ili elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne, itolewe bure. Rais Jakaya Kikwete, alisema hayo juzi katika mkutano wake na wanajumuiya ya Chuo...
View ArticleSaba Mbaroni kwa tuhuma za kupora na kuua Wanawake jijini Arusha
Watu saba wamekamatwa Jijini Arusha kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya unyang’anyi wa kutumia silaha kwa wanawake. Wanadaiwa pia kusababisha kifo cha mtoto, Christen Nickos mwenye umri wa...
View ArticleMalaria Yaua Mhamiaji Haramu wa Ethiopia
Mmoja wa raia wa Ethiopia waliokamatwa kwenye msitu wilayani Bagamoyo wakituhumiwa kuwa wahamiaji haramu na kulazwa hospitalini kutokana na matatizo ya afya, amefariki akipatiwa matibabu. Dawita...
View ArticleHakuna Mjumbe wa Bunge Maalumu anayedai Posho
Ofisi ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, imefafanua juu ya kuchelewa kwa posho wa wajumbe wa bunge hilo, ikisema zilichelewa kutokana na sababu za kiutaratibu wa fedha na kwamba kwa sasa hakuna...
View ArticleMkapa Ajitosa Vita Dhidi ya Viongozi Walafi
Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameungana na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, kuunga mkono mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi. Akizungumza jana wakati...
View ArticleTiwa aeleza alivyonyanyaswa na Wazungu
Msanii wa muziki Tiwa Savage kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa, amewahi kukumbana na changamoto kubwa ya kuonewa na wenzake kipindi akiwa mtoto, kutokana na asili yake ya uafrika. Tiwa amesema...
View ArticleVideo: Mkurugenzi wa Vodacom amwagiwa maji kuanzisha kampeni kuchangia...
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Rene Meza amekuwa wa kwanza kumwagiwa maji ya barafu kwa lengo la kushiriki kampeni iliyoanzishwa na Vodacom kuchangia akina mama wajawazito wenye ugonjwa wa Fistula...
View ArticleDiamond na Dabo watajwa kuwania tuzo za 'IRAWMA', Marekani
Wasanii wa Tanzania, Diamond Platinumz na Dabo (wa Dancehall) wametajwa kuwania tuzo za IRAMWA (International Reggae and World Music Awards), Marekani. Wimbo wa MdogoMdogo wa Diamond umemuwezesha...
View ArticleTamko la mkuu wa mkoa wa Kigoma baada ya watu wawili kufa kwa Ebola Congo DRC
Taarifa zinaarifu kwamba kati ya Wagonjwa nane waliokutwa na Ebola huko Congo DRC, wawili kati yao wamefariki dunia. Taarifa hizi zimeendelea kuwashtua na kuwafanya majirani kuzingatia tahadhari...
View ArticleHivi ndivyo Ali Kiba Alivyopagawisha Serengeti Fiesta Tanga.....Mashabiki...
Gwiji la muziki wa kizazi kipya, Alikiba, alitoa burudani ya nguvu kwa Wanatanga kwa wimbo wake mpya-Mwana Dar es salaam- usiku wa Serengeti Fiesta Tanga, katika viwanja vya Mkwakwani jinjini...
View ArticleRais Kikwete Amteua Ali Siwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Ndugu Ali Idi siwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kigali, nchini Rwanda. Uteuzihuo umefanyika...
View ArticlePicha Zinatisha: Msicha wa kazi achomwa moto sehemu zake za siri kisa Kakojoa...
Habari kutoka mkoani Arusha zinaarufu kuwa msichana mmoja wa kazi ( hausigeli) ameungua na kuharibika vibaya sehemu zake za siri baada ya kuchomwa moto na bosi wake.... Kwa...
View ArticleCCM yasema Itachunguza kama ni kweli Waziri mkuu Mizengo Pinda alifanya...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kitafanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kabla ya kuchukua hatua dhidi ya Waziri mkuu Mizengo Pinda iwapo matamshi yake ya kutangaza nia ya kuwania Urais...
View ArticleNina Mimba ya Mbasha sio Gwajima -Flora Mbasha
Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat...
View ArticleZitto Kabwe Afunguka kuhusu Uhusiano wake wa Kimapenzi na Loveness Diva wa...
Kwa mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito uliokuwa ukizagaa kuwa...
View ArticleKijana Avua Nguo baada ya Kufika Kilele cha Mlima Kilimanjaro
KIJANA Ben Boleyn aliamua kuvua nguo baada ya kufika kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro nchini chenye joto la kati ya sentigrade 10 hadi 12. Ben alifanya hivyo baada ya kuwekeana dau la shilingi 500...
View ArticleHalima Mdee Amwaga Machozi hadharani baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania...
Vigogo wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), watachuana katika kinyang’anyiro cha kuwania uenyekiti wa baraza hilo baada ya jana baadhi ya wanawake kujitokeza kumchukulia fomu Mbunge wa Kawe,...
View ArticleRais Kikwete apongezwa kukutana na UKAWA
Wadau wengi wamepongeza hatua ya Rais Jakaya Kikwete kukubali kukutana na viongozi wa vyama vya siasa wakiwamo wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa lengo la kunusuru mchakato wa Katiba...
View ArticleRais Kikwete kuhutubia Taifa Jumapili
Rais Jakaya Kikwete anatarajia kufanya ziara mkoani Dodoma ambako atazindua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwamo ya barabara, maji na kulihutubia Taifa kwa kuongea na wazee. Akizungumza na...
View Article