Watu 8 wagundulika kuwa na virusi vya Ebola nchini Congo.
Waziri wa Afya wa Democratic Republic of Congo amethibitisha habari ya kwanza kuwepo kwa watu 8 waliopimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola. Mr Felix Kabange Numbi alisema,”The results are...
View ArticlePinda: Nitagombea Urais....Afichua sababu zilizomvuta kutangaza...
Waziri wa Mkuu Mizengo Pinda, amevunja ukimya na kuamua kutangaza nia yake ya kutaka kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2015. Pinda alitangaza nia hiyo juzi usiku Ikulu ndogo ya Mwanza jijini...
View ArticleTamasha la Fiesta 2014 Lawa Gumzo Mkoani Tanga
Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa. Barnaba Boy akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoni Tanga mwishoni mwa wiki. Wadau...
View ArticleKesi Ya Kanumba Na Lulu Yasikilizwa Kimya kimya, Lulu Hajui Kinachoendelea
Baada ya kimya cha muda mrefu, imefichuka kwamba kesi ya kuuawa kwa aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba imechukua sura mpya baada ya kuanza kusikilizwa...
View ArticleUchaguzi Chadema vurugu tupu....Kundi la Wanaodaiwa Wasaliti Laibuka,...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimebaini njama za kupandikiziwa mamluki wenye nia ya kuvuruga uchaguzi wa chama hicho pamoja na mabaraza yake unaotarajiwa kufanyika Septemba 14,...
View ArticleMakada CCM wamgwaya Pinda
SIKU moja baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutangaza nia ya kujitosa kuwani urais katika Uchaguzi Mkuu 2015, baadhi ya wanachama wa CCM na wasomi wamekuwa na maoni tofauti. Hali hiyo imekuwa...
View ArticleBagamoyo : Mke wa Mchungaji ajifungua hirizi baada ya ujauzito wa miezi 9
Na Edson Mkisi Jr Wazee wetu walishawahi kuneno kwamba; Ukishangaa ya Mussa utayaona ya filauni! Ndivyo unavyoweza kuanza kusema kuhusiana na tukio la kushangaza lililotokea Kijiji cha Udindila Wilaya...
View ArticleBoko Haram yatangaza himaya yao Nigeria
Kundi la wanamgambo wa Boko Haram limesema kuwa limebuni taifa la kiislamu katika miji na vitongoji inavyotawala kaskazini mashariki mwa Nigeria. Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau alizungumza...
View ArticleWanajeshi 480 wa Nigeria watorokea Cameroon
Wanajeshi 480 wa Nigeria wametorokea nchi jirani ya Cameroon kufuatia makabiliano makali dhidi ya wapiganaji wa kundi la kiislamu la Boko Haram. Msemaji wa jeshi la Cameroon Luteini Kanali Didier...
View ArticleBenjamin Mkapa ampigia Pinda debe kiaina.....Asema ni kiongozi anayekubalika...
Rais mstaafu, Benjamini Mkapa amempigia debe Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiana akisema ni kiongozi anayekubalika kwa wananchi, hivyo wananchi wamuunge mkono kwenye nafasi yake ya sasa. Pia, Mkapa...
View ArticleMwanafunzi Amuua Mwanaye kwa kumnyonga na kisha kumficha uvunguni
Mwanafunzi wa Chuo cha Uuguzi Chimala wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya, Vena Mtati (27) (pichani) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa madai mazito ya kumuua mtoto wake kwa kumnyonga,...
View ArticleMfanyabiashara wa Madini Ajiua kwa kujipiga Risasi akikwepa kufia mikononi...
MFANYABIASHARA maarufu wa madini ya dhahabu amejiua kwa kujipiga risasi kichwani. Amefanya hivyo wakati akiwakimbia wananchi wenye hasira na wachimbaji wadogo kwenye machimbo ya Kalole Kata ya...
View ArticleTanesco yakataa umeme wa bei ghali
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limekataa mkataba wa kununua umeme wa makaa ya mawe kwa gharama kubwa kutoka Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), kwa kuwa utavuruga mpango wao wa kupunguza gharama ya umeme...
View ArticleBunge lajigeuza Tume ya Warioba.....Lapokea maoni ya makundi mbalimbali,...
Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha kutapatapa huku...
View ArticleVideo: Tazama Shilole na Nuh Mziwanda walipokula ‘denda’ jukwaani kwenye show...
Shilole aka Shishi baby pamoja na baby wake Nuh Mziwanda usiku wa juzi katika ukumbi wa Maisha Club kwenye show ya ‘Turn Down For What,’ walifanya kile walichokifanya Jay Z na Beyonce juzi hiyo hiyo...
View ArticleMkapa aibua mjadala mzito baada ya kujiweka kando kuzungumzia suala la...
Hatua ya Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, kujiweka kando kuzungumzia suala la mchakato wa Katiba Mpya na mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba, imeibua maoni tofauti ya wananchi huku baadhi wakisema...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleUhusiano kati ya Pete za Bahati na Mafanikio katika Maisha ya Mwanadamu
Kabla hatujafahamu kuhusu pete za bahati ni vyema na haki tukajua kuhusu IMMO Ring. IMMO Ring ni pete inayo undwa na madini aina tano ambayo ni Shaba, Dhahabu, Fedha, Zinki na...
View ArticleKigogo Atiwa mbaroni baada ya KUMLAWITI Msichana wake wa kazi
Mtoto Rose (kushoto) aliyelawitiwa, na mwenzake Diana aliyetoroshwa na kigogo mmoja aliyetajwa kwa jina la Moses. **** Wakati watetezi wa haki za binadamu wakizidi kupiga vita matukio ya unyanyasaji...
View ArticleMapya yaibuka urais wa Pinda
SAKATA la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutangaza nia ya kuwania urais, limeibua mapya baada ya makatibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kudai walipewa mafuta lita 60 na posho. Wakizungumza jijini Mwanza...
View Article