Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi
na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi
wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha kutapatapa huku Mwenyekiti
wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisema
linafanya kazi ambayo tayari tume yake ilishaifanya.
Hata hivyo, Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis
Hamad
↧