SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limekataa mkataba wa kununua umeme wa makaa ya mawe kwa gharama kubwa kutoka Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), kwa kuwa utavuruga mpango wao wa kupunguza gharama ya umeme kwa wananchi.
Akizungumza juzi mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, Meneja Uzalishaji wa Tanesco Makao Makuu, Costa Rubagumya, alisema bei ya umeme wa NDC kwa
↧