MFANYABIASHARA maarufu wa madini ya dhahabu amejiua kwa kujipiga risasi kichwani. Amefanya hivyo wakati akiwakimbia wananchi wenye hasira na wachimbaji wadogo kwenye machimbo ya Kalole Kata ya Bugarama wilaya ya Kahama, baada ya kumjeruhi mguuni kwa kumpiga risasi mchimbaji mdogo wa machimbo hayo.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha alisema ofisini kwake mjini hapa jana
↧