Waziri
wa Mkuu Mizengo Pinda, amevunja ukimya na kuamua kutangaza nia yake ya
kutaka kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2015.
Pinda alitangaza nia hiyo juzi usiku Ikulu ndogo ya Mwanza jijini Mwanza,
mara baada ya kuwaalika wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) toka mikoa sita ya Kanda ya Ziwa.
Habari kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika zilieleza kuwa Waziri
↧