SIKU moja baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutangaza nia ya
kujitosa kuwani urais katika Uchaguzi Mkuu 2015, baadhi ya wanachama wa
CCM na wasomi wamekuwa na maoni tofauti.
Hali hiyo imekuwa tofauti ambapo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,
Philip Mangula, alishindwa kueleza kwa undani kauli hiyo ya Pinda huku
akisema hawezi kuzungumza jambo lolote kwa sasa hadi pale atakapomaliza
↧