Hatua
ya Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, kujiweka kando kuzungumzia suala la
mchakato wa Katiba Mpya na mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba, imeibua
maoni tofauti ya wananchi huku baadhi wakisema anakosea na wengine
wakimtetea kwa maelezo kuwa uamuzi huo ni matokeo ya busara ya hali ya
juu aliyo nayo.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (Saut), Profesa Mwesiga
Baregu,
↧