Kundi la wanamgambo wa Boko Haram limesema kuwa
limebuni taifa la kiislamu katika miji na vitongoji inavyotawala
kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau
alizungumza kwenye kanda ya video iliyotolewa ili kupongeza wapiganaji
wake kwa kuchukua udhibiti wa mji wa Gwoza mapema mwezi huu.
Haijabainishwa iwapo Bwana Shekau ameahidi kutii Muungano wa
↧