Hamisa Mabeto Apangua tuhuma kuwa ana msururu wa mabwana
Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema...
View ArticleWatuhumiwa 7 wa Mauaji ya Albino watiwa mbaroni......Yumo Mganga wa kienyeji,...
JESHI la polisi mkoani Simiyu limefanikiwa kuwakamata watu saba wanaodhaniwa kuwa wauwaji wa aliyekuwa mlemavu wa ngozi (albino) Munghu Mugata (40) aliyeuwawa kwa kukatwa mapanga mnamo mwezi mei...
View ArticleWaziri Magufuli Apata Pigo.....Wachina wake wa Samaki Waachiwa huru....Waanza...
Baada ya kusota rumande kwa miaka mitano hatimaye raia wawili wa China waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuvua samaki katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania bila kibali wameachiwa huru katika...
View ArticleApandishwa Kizimbani kwa Kumnajisi Binti yake wa Kumzaa
Mkazi wa kijiji cha Nyangae, Kata ya Bukumbi wilayani Uyui, Shimba Kajolo ameburuzwa mahakamani akituhumiwa kumnajisi binti yake wa miaka 12. Imeelezwa mahakamani kwamba alifanya kitendo hicho kwa...
View ArticleUchawi, Safari za Kuzimu na maswali ya Aibu kwa washiriki wa Bibi Bomba...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo pamoja na kutoza faini ya takribani Sh milioni 5 kwa kituo cha redio na televisheni cha Clouds, kwa kukiuka kanuni za utangazaji za mwaka 2005....
View ArticleVifaa vya Kuwatambua Wenye Ebola Vyawasili nchini
Serikali imeanza kuingiza nchini vifaa vya kuwabaini watu wanaohisiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa homa kali ya ebola ambavyo vitawekwa kwenye viwanja vya ndege pamoja na baadhi ya maeneo ya mipakani....
View ArticleMtuhumiwa kesi ya Swissport alalamikia unyama wa polisi.....Adai kuingizwa...
Kesi ya wizi wa simu inayowakabili wafanyakazi sita wa Kampuni ya Kupakia na Kupakua mizigo ya Swissport, imechukua sura mpya baada ya mshitakiwa Hashim Idd (49) kudai amefanyiwa vitendo vya unyama...
View ArticleVibaka Wachomwa Moto hadi kufa baada ya kupora Pochi Tabata, Dar es salaam
Vijana wawili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao hawakufahamika majina yao, wanaodaiwa kuwa ni vibaka alfajiri ya leo wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kumpora...
View ArticleInterview: Meninah azungumzia kipindi chake cha tv, kilichotokea baada ya...
Mwimbaji wa Bongo Flava aliyewahi kuwa mshiriki wa shindano la Kuimba BSS, Meninah La Diva amefanya exclusive Interview na Times Fm na kufunguka mengi ambayo hakuwahi kuyasema. Katika mahojiano...
View ArticleDiamond atangaza rasmi kufunga ndoa na Wema Sepetu. Apanga kufanya harusi...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz ametangaza ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Wema Sepetu anayosema itafungwa hivi karibuni. Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka...
View ArticleWasanii wa Serengeti Fiesta Tanga wamtembelea Mzee Njenje, azungumzia...
Msanii mkongwe wa muziki wa dansi Mabrouk Omar a.k.a Babu Njenje (kushoto), akiongea na wasanii wa muziki wa kizazi kipya walipomtembelea nyumbani kwake mjini Tanga , msanii huyo kwa sasa...
View ArticleJux na Jackie Cliff wasemekana walikuwa wapenzi kwa miezi 7 kabla ya...
Miongoni mwa vitu ambavyo msanii Jux amekuwa akivikwepa kuzungumzia kila alipoulizwa ni kuhusu uhusiano wake na Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya mwishoni mwa mwaka jana (2013) nchini...
View ArticleDiamond atumia wimbo wa Taarab kuwakejeli wanaotaka aachane na Wema Sepetu
Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sepetu watengane. Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha...
View ArticleTundaman: Iddi Azan ananiandaa kuwa Mbunge, 'napata ushauri kwa mheshimiwa...
Tundaman ameweka wazi mpango wa kuingia rasmi katika siasa na kukitafuta kiti cha ubunge katika uchaguzi mkuu baada ya 2015. Akiongea na Times Fm, Tundaman ameeleza kuwa alipata moyo na wazo la...
View ArticleRais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa Waluguru na chifu Kungalu huko...
Chifu wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya...
View ArticleNi shida: Msichana ‘akitwerk’ kwenye wimbo wa Diamond ‘Kizaizai’ (Video)
Paki gari, weka wimbo wa Diamond ‘Kizaizai’, mpe camera rafiki yako arekodi, anza kukata viuno!!! Hicho ndicho kilichofanyika kwenye video hii unayokwenda kuishuhudia.Hutaona sura yake lakini utaenjoy.
View ArticleMwigulu Nchemba asitisha safari yake kwa muda ili kuokoa majeruhi wa Ajali ya...
Naibu Waziri wa Fedha,Mh.Mwigulu Nchemba akiangalia sehemu aliyokuwa amebanwa Kondakta wa Gari hilo (pichani) lililopata ajali jana katika barabara kuu ya Dar - Iringa kutokana na kugonga Ukuta...
View ArticleWaziri Mkuu, Mizengo Pinda Aongoza harambee ya Mkapa Fellows jijini...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa. Waziri Mkuu,...
View ArticleMwanafunzi wa Darasa la Saba Abakwa na muuza genge
Kwenye Kituo cha Polisi cha Maturubai kilichopo Mbagala, Dar kuna faili la kesi namba MBL/RB/ 9817/2014- KUFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI ambalo linamsaka kijana Juma Athumani (30), mkazi wa Charambe,...
View ArticleBatuli: Sitaki kusikia habari za Mtunisi.......Tulikuwa wapenzi zamani,...
YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi yalishaisha....
View Article