Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz ametangaza
ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Wema Sepetu anayosema itafungwa hivi
karibuni.
Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka
hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es
Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia
hatua hiyo, ikiwamo maandalizi kwani amepanga
↧