Msanii
mkongwe wa muziki wa dansi Mabrouk Omar a.k.a Babu Njenje (kushoto),
akiongea na wasanii wa muziki wa kizazi kipya walipomtembelea nyumbani
kwake mjini Tanga , msanii huyo kwa sasa anasumbuliwa na matatizo ya
kiafya. Wasanii hao wapo katika msafara wa tamasha ya Serengeti fiesta
ambapo kwa mjini hapo linafanyika katika Uwanja wa Mkwakwani.
Mkurugenzi
wa Uzalishaji na
↧