Miongoni mwa vitu ambavyo msanii Jux amekuwa akivikwepa kuzungumzia
kila alipoulizwa ni kuhusu uhusiano wake na Jackie Cliff aliyekamatwa na
madawa ya kulevya mwishoni mwa mwaka jana (2013) nchini China, ambaye
mara nyingi amekuwa akisema ni mshkaji wake tu.
Jux ambaye inadaiwa
kuwa wimbo wake wa ‘Nitasubiri’ alimuimbia mrembo huyo, amefanya
mahojiano na mwandishi wa Global
↧