Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa
Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sepetu
watengane.
Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha mbalimbali akiwa
amepoz na Wema kuonesha jinsi ambavyo penzi lao liko Imara.
Siku chache zilizopita Diamond na Wema Sepetu walikuwa mada kubwa baada
ya mashabiki wa Wema kuanzisha
↧