Tundaman ameweka wazi mpango wa kuingia rasmi katika siasa na kukitafuta kiti cha ubunge katika uchaguzi mkuu baada ya 2015.
Akiongea na Times Fm, Tundaman ameeleza kuwa alipata moyo
na wazo la kugombea kiti cha ubunge kutoka kwa mbunge wa Kinondoni,
mheshimiwa Iddi Azan.
“Rafiki yangu sana Iddi Azan, sometimes nikikaa nae sehemu wananchi
wananishangilia mimi anasema ‘Tunda unapendwa
↧