Chifu wa Waluguru Kingalu
Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa
Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika
katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Kinole, kata ya Makuyuni, Morogoro
vijijini Agosti 22, 2014. Rais Kikwete pia alipewa jina la CHIDUKILA,
lenye kumaanisha "muibukaji", kwa maana ya kwamba Rais Kikwete ana uhuru
wa
↧