Paki gari, weka wimbo wa Diamond ‘Kizaizai’, mpe camera rafiki yako
arekodi, anza kukata viuno!!! Hicho ndicho kilichofanyika kwenye video
hii unayokwenda kuishuhudia.Hutaona
sura yake lakini utaenjoy.
↧