Naibu Waziri wa Fedha,Mh.Mwigulu
Nchemba akiangalia sehemu aliyokuwa amebanwa Kondakta wa Gari hilo
(pichani) lililopata ajali jana katika barabara kuu ya Dar - Iringa
kutokana na kugonga Ukuta pembezoni mwa Barabara hiyo.
Naibu
Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akizungumza na Kondakta wa lori
hilo lililopata ajali mara baada ya Kumnasua kwenye roli hilo.Kijana
anaonekana
↧