Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa
Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014.
Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mchango wa shilingi milioni 15 kutoka kwa
Mfanyabiashara wa Mwanza na Dar es salaam Jumanne Kishimba katika
harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows
↧