Kwenye Kituo cha Polisi cha Maturubai kilichopo Mbagala, Dar kuna
faili la kesi namba MBL/RB/ 9817/2014- KUFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI
ambalo linamsaka kijana Juma Athumani (30), mkazi wa Charambe, Mbagala
kwa kosa la ubakaji wa denti wa darasa la saba.
Habari za kiintelijensia zilidai kwamba mtuhumiwa huyo ambaye ni
muuza genge, alitenda kosa hilo Agosti, mwaka huu ambapo denti
↧