YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies,
amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia
msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi yalishaisha.
Akizungumza na mwandishi wetu, Batuli alisema hataki kumsikia wala
kujua habari za Mtunisi kwani mapenzi yalikuwa zamani lakini kwa sasa
kila mtu ana maisha yake yaani yeye Mtunisi ana mke na
↧