Mwimbaji wa Bongo Flava aliyewahi kuwa mshiriki wa shindano la Kuimba
BSS, Meninah La Diva amefanya exclusive Interview na Times Fm
na kufunguka mengi ambayo hakuwahi kuyasema.
Katika mahojiano hayo aliyofanya na Josefly Muhozi, amezungumzia
kuhusu kipindi chake kipya cha runinga kitakachoanza hivi karibuni.
Amezungumzia pia kilichojiri baada ya kusambaa ripoti kuwa anatoka na
↧