Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali
taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao
ya kijamii.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema
anawashangaa watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa wasanii ambao
anafanya nao kazi wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu ambacho
hakina ukweli wowote.
“Nazushiwa tu mara DJ
↧