JESHI la polisi mkoani Simiyu limefanikiwa kuwakamata watu saba wanaodhaniwa kuwa wauwaji wa aliyekuwa mlemavu wa ngozi (albino) Munghu Mugata (40) aliyeuwawa kwa kukatwa mapanga mnamo mwezi mei katika kijiji cha Gasuma kata mwaubingi wilayani bariadi.
Akiongea na waandishi wa habari ofisi kwake, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa ambaye pia ni mkuu wa mkoa Paschal Mabiti,
↧