Baada ya kusota rumande kwa miaka mitano hatimaye raia wawili wa China waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuvua samaki katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania bila kibali wameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Aidha, mahakama imeamuru washitakiwa warudishiwe mali zao, ikiwemo meli iliyotumika kufanya uvuvi huo ikiwezekana na samaki walikutwa nao pamoja na hati
↧