Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Apandishwa Kizimbani kwa Kumnajisi Binti yake wa Kumzaa

$
0
0
Mkazi wa kijiji cha Nyangae, Kata ya Bukumbi wilayani Uyui, Shimba Kajolo ameburuzwa mahakamani akituhumiwa kumnajisi binti yake wa miaka 12.   Imeelezwa mahakamani kwamba alifanya kitendo hicho kwa kushauriwa na mganga wa kienyeji ili aweze kuondoa mkosi wa kutopata mke.    Kajolo amefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Tabora, Bahati Chitepo na kusomewa shitaka lake hilo.   

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>