Super Star kunako tasnia ya sinema za Kibongo,
Jacqueline Wolper Massawe (26), anadaiwa kuangua kilio kisa kutopata
mtoto.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni
mtu wake wa karibu, staa huyo amekuwa akihaha kusaka mtoto huku
shinikizo likitoka kwa bibi yake, mzaa baba ambaye amekuwa akimuuliza
juu ya yeye kumpata mtoto kwani umri unazidi kuyoyoma.
Habari zilidai kwamba
↧