Fundi ujenzi aliyefahamika
kwa jina la Omari Mkulu (25) amedaiwa kuuawa na kutupwa ndani ya bwawa
baada ya kudaiwa kutoweka nyumbani kwa takriban siku tatu.
Tukio hilo lilitokea maeneo ya Mabwawa
Saba, Mabibo jijini Dar ambapo majirani wa eneo hilo walidai kuwa
waliiona maiti ya Omari ikiwa inaelea kwenye moja ya bwawa eneo hilo
lakini kutokana na maiti hiyo kuvimba haikuwa
↧