Katiba ya Tanganyika yaingizwa kwenye Muungano
WAKATI Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiendelea na msimamo wa uwapo wa mfumo wa Serikali tatu, Bunge Maalumu la Katiba limeanza kujadili baadhi ya sura ambazo ziliachwa na iliyokuwa Tume ya...
View ArticleBomu larushwa ndani ya basi Kigoma, watatu wauawa, sita wajeruhiwa
Watu watatu wamekufa akiwepo mtoto mchanga na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria (Hiace) kurushiwa bomu na watu wasiojulikana huko Kasesema, Kigoma alfajiri ya leo. Akithibitisha...
View ArticleMakalio ya Aunty Lulu Yasababisha Ajali
Msanii wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kali ya mwaka alipotoa kauli kwamba kutokana na makalio yake makubwa, anapokuwa anatembea barabarani husababisha ajali kwani...
View ArticleUhamiaji Yafanya Maamuzi Magumu.....Yafuta Ajira 228 Zilizotolewa kiupendeleo...
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imezifuta rasmi ajira 200 za nafasi ya Konstebo na Koplo wa Uhamiaji baada ya kupokea ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza tuhuma za upendeleo katika ajira hizo...
View ArticleCHADEMA Watunga Wimbo Maalumu kwa Ajili ya Maandamano ya UKAWA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetunga wimbo maalumu kwa ajili ya maandamano yaliyopangwa na chama hicho na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ili kushinikiza Bunge...
View ArticleBoko Haram Wateka kituo cha Polisi Nigeria
Kundi la wapiganaji la Boko Haram wamevamia shule moja ya mafunzo ya kipolisi iliyopo kwenye kitongoji cha Gwoza karibu na mpaka wa nchi ya Cameroon ambacho hufundisha maofisa wa Polisi nchini...
View ArticleAunt Ezekiel: Sidhani kama Wema Sepetu ni mtu wa kufundishwa...ana maisha yake
Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu, amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa Wema ana marafiki wanaomfundisha tabia mbaya na kwamba kama anataka kuendelea aachane nao. Akiongea na...
View ArticleRais Kikwete asafiri kwa Treni ya TAZARA katika ziara yake Mkoani Morogoro
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera, Mbunge wa Morogoro Kusini Mhe...
View ArticleFahamu kiwango kipya anacholipwa Diamond kwa show Tanzania, ataingiza zaidi...
Tangu mwaka juzi tulifahamu kuwa Diamond Platinumz ndiye msanii wa Tanzania anaelipwa kiasi kikubwa cha pesa, na mwaka jana ikaelezwa kuwa bila milioni 10 au 8 za Kitanzania humpati kwenye show yako....
View ArticleFamilia ya Kichina yakosolewa kwa kumgeuza mtoto mfano wa 'msosi'
Familia ya kichina imekosolewa vikali na watu mbalimbali wanaopigania haki za watoto baada ya kuonesha picha ya mtoto wao mchanga akiwa katikati ya misosi huku akiwekewa mboga kama sehemu ya salad....
View ArticleTCRA kutoa mafunzo kwa jeshi la Polisi
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imeanza zoezi la kuzunguka nchi nzima kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa jeshi la polisi kwa lengo la kupambana na uhalifu unaofanyika kupitia mitandao ya mawasiliano....
View ArticleAmchana Mwanaye kwa Wembe aweze kujisaidia.....Mtoto huyo alizaliwa bila kuwa...
Mkazi wa Kata ya Kitangiri katika Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, Anastazia Ngilitu, amemchana kwa wembe mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili na wiki mbili baada ya mtoto huyo kuzaliwa bila kuwa na...
View ArticleMwanamitindo ayashitaki Makampuni kwa kuonesha sehemu zake za siri kwenye TV...
Mwanamitindo Jessie Nizewitz ambaye alikuwa kati ya wasichana waliokuwa kwenye mashindano ya series ya ‘Dating Nak8d’ amefungua mashitaka dhidi ya makampuni yanayowezesha show hiyo kwa kurusha vipande...
View ArticleMjumbe wa CCM ‘ajiunga’ UKAWA
Jana ilikuwa kama sinema pale viongozi wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalumu walipojikuta wakibishana na mjumbe wao mbele ya waandishi wa habari, huku siri za mambo ya ndani ya vikao zikianikwa...
View ArticleNicki Minaj ashindwa kufanya 'clean version' ya video ya Anaconda, aeleza...
Rapper wa Young Money, Nicki Minaj aliachia video ya ‘Anaconda’ ambayo kimaadili bila kusita haifai na huenda wengi bado tunasubiri kuona video nyingine ya toleo safi. Kwa bahati mbaya hakutakuwa na...
View ArticleRoma Mkatoliki Kuachia Ngoma Mpya Serengeti Fiesta Tanga Jumamosi hii
Mwanamziki mashuhuri wa miondoko ya Hip-Hop hapa nchini, Roma Mkatoliki ametangaza rasmi kuachia ngoma zake mpya usiku wa Serengeti Fiesta-Tanga, katika uwanja wa Mkwakwani jumamosi hiii....
View ArticleMarekani Yaanza kuwasaka Waliomchinja Mwandishi wa Habari James Foley
Kitengo cha sheria nchini ya Marekani kimeanza kufanya uchunguzi wa jinai dhidi ya kifo chamwandishi wa habari mwenye asili ya Marekani ,James Foley aliyeuawa na wapiganaji wa kiislamu wenye msimamo...
View ArticleJokate Na Vanessa Mdee Katika Beef Zito Kisa Penzi La Ommy Dimpoz
Habari ya Mjini ni kuhusu Jokate Mwegelo kutoka kimapenzi na Ommy Dimpoz ambaye ni star wa Bongofleva. Habari zaidi zinasema kuwa Jokate na Ommy Dimpoz wamekuwa wapenzi kwa muda sasa ila kwa...
View ArticleBaada ya kupokea Mashahara Mnono, Fundi Auawa....Atupwa Bwawani
Fundi ujenzi aliyefahamika kwa jina la Omari Mkulu (25) amedaiwa kuuawa na kutupwa ndani ya bwawa baada ya kudaiwa kutoweka nyumbani kwa takriban siku tatu. Tukio hilo lilitokea maeneo ya Mabwawa...
View ArticleWolper Alia kutopata Mtoto.....Madaktari wamwambia amwombe Mungu, bibi yake...
Super Star kunako tasnia ya sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe (26), anadaiwa kuangua kilio kisa kutopata mtoto. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wake wa karibu, staa huyo...
View Article