Mwanamziki mashuhuri wa miondoko ya Hip-Hop hapa nchini, Roma Mkatoliki ametangaza rasmi kuachia ngoma zake mpya usiku wa Serengeti Fiesta-Tanga, katika uwanja wa Mkwakwani jumamosi hiii.
Mwanamuziki huyo ambaye ni Mzaliwa wa Tanga na kipenzi cha wengi Jijiji hapo amesema kwamba, ngoma hizo mpya zitasindikizwa na vibao kama vile Mr. President, Pastor, Mathematics, 2013, KKK pamoja na
↧