Rapper wa Young Money, Nicki Minaj aliachia video ya ‘Anaconda’
ambayo kimaadili bila kusita haifai na huenda wengi bado tunasubiri
kuona video nyingine ya toleo safi.
Kwa bahati mbaya hakutakuwa na toleo safi la video hiyo ambayo kila sekunde yake ina mengi.
Akiongea na Nick Martinez katika mahojiano maalum kabla ya kuachia
rasmi video hiyo, rapper huyo ameeleza kuwa hajui ni
↧